The House of Favourite Newspapers

‘Mhindi’ Aliyesoma na Magufuli Alia kwa Uchungu – Video

0

Huyu Mtanzania mwenye asili ya Asia, alisoma shule moja na Hayati Rais John Pombe Magufuli, naye amefika katika Uwanja wa Uhuru kutoa heshima zake za mwisho, alijidamka saa 12 asubuhi ili kuwahi kupata nafasi hiyo, idadi ya watu waliojitokeza imekuwa kubwa kiasi kwamba kuna ambao hawakupata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho. #NendaSalamaRaisWaWanyonge

Leave A Reply