The House of Favourite Newspapers

MISS KINONDONI ALIVYOKABIDHIWA ZAWADI YA GARI (PICHA + VIDEO)

Miss Kinondoni 2019, Queen Mugesi Aynory (19) akiingia kwenye gari yake baada ya kukabidhiwa.

MISS KINONDONI 2019, Queen Mugesi Aynory (19) amekabidhiwa gari yake aina ya Mini Cooper (nyekundu) baada ya kuibuka mshindi usiku wa kuamkia leo Julai 14, 2019 katika ukumbi wa Life Park.

Mshindi wa pili alikuwa Prisca Kisunda, watatu Leila Adim wa nne Queen Anthony na wa tano ni Flaviana Steven.

…Akijiweka sawa ndani ya gari lake.
Mratibu wa shindano hilo, Nancy Joseph kutoka Super Model (kushoto) akiwa na mshindi baada ya kumkabishi zawadi ya gari.
Mshindi wa pili alikuwa Prisca Kisunda akiwa juu ya kitanda chake baada ya kukabidhiwa.
Mshindi wa tatu Leila Adim akiwa na TV yake baada ya kukabidhiwa.
Muonekano wa Mini Cooper (nyekundu) aliyokabidhiwa Miss Kinondoni 2019, Queen Mugesi Aynory.

HUYU HAPA NDIYE MSHINDI WA MISS KINONDONI 2019

Comments are closed.