The House of Favourite Newspapers

Misso Misondo Afunguka Kupata nafasi ya kwenda kutoa burudani kwenye nyumba ya Rais – Video

0

Dj maarufu Misso Misondo @misso_misondo amefunguka na kusema Januari 1, 2024 alifurahi kupata nafasi ya kwenda kutoa burudani kwenye nyumba ya Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ambapo anaeleza yeye na wazee wa wa makoti walitoa burudani safi na kumfurahisha kila mtu akiwemo Rais mstaafu Kikwete.

Leave A Reply