The House of Favourite Newspapers

Mjumbe wa Waziri Mkuu wa Uingereza Atembelea SBL

0
Mjumbe wa biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania Lord Walney akipanda mti katika kiwanda cha bia cha SBL, Moshi. Kushoto ni Alice Kilembe, Meneja wa uzalishaji na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti.

MJUMBE wa biashara kutoka ofisi ya Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania Lord Walney  ametembelea kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd’s (SBL), kampuni tanzu ya Diageo yenye makao yake Uingereza ambapo alijionea kiwanda kipya cha kutengeneza pombe kali pamoja na uzalishaji bia.

Mjumbe wa biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania Lord Walney (katikati) alipotembelea kiwanda cha Serengeti Breweries Ltd’s (SBL), kampuni tanzu ya Diageo yenye makao yake Uingereza ambapo alijionea kiwanda kipya cha kutengeneza pombe kali pamoja na uzalishaji bia. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Mark Ocitti ambae alimuelezea programu za kijamii za kimaendeleo, Society 2030. Wa kwanza kulia ni Anna-Marie Mbwette, Mkurugenzi wa Biashara za Kimataifa, Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania.
Mjumbe wa biashara kutoka Waziri Mkuu wa Uingereza nchini Tanzania Lord Walney akionyeshwa shughuli zinavyofanyika katika kiwanda kipya cha kutengeneza pombe kali kilichopo Moshi kinachosimamiwa na wafanyakazi wanawake.

 

Leave A Reply