The House of Favourite Newspapers

Mkazi wa Tabora, Suzan Lukindo Akamata Mpunga wa Vodacom

0

001.DROO

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) akiongea kwa njia ya simu  na Suzan Lukindo,Mkazi wa Tabora aliyeibuka mshindi shilingi Milioni 5/- katika droo ya wiki ya promosheni ya ‘Kamata Mpunga’ inayowawezesha wateja wa mtandao huo kujishindia pesa taslimu kuanzia shilingi Milioni 1 hadi 100. Jumla ya washindi 16 wameibuka katika droo ya wiki ya kwanza.Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO” kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno ”WIN” kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali,Kushoto ni Afisa msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania, Abdallah Hamed na Meneja wa huduma za ziada, Mathew Kampambe.

002.DROO 

003.DROOOfisa wa masuala ya Usalama kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Neema Mgombelo (kushoto) Afisa msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania, Abdallah Hamed na Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Tanzania, Mathew Kampambe (kulia) wakimsikiliza Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa droo ya wiki ya promosheni ya ”Kamata Mpunga” ambapo Suzani Lukindo, mkazi wa Tabora,aliibuka mshindi wa wiki wa kitita cha shilingi Milioni 5/- kupitia promosheni hiyo inayowawezesha wateja wa mtandao huo kujishindia pesa kuanzia shilingi Milioni 1 hadi 100. Jumla ya washindi 16 wameibuka katika droo ya wiki ya kwanza.Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO” kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno ”WIN” kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali .

Leave A Reply