The House of Favourite Newspapers

Mke wa Bichuka Amwaga Machozi, Mumewe Hali Mbaya -”Kuna Hatari Kupoteza Jicho La Pili, Hali Ngumu” -Video

0

Muimbaji nguli wa muziki wa dansi nchini, aliyekuwa akiimbia bendi ya Mlimani Park Hassan Rehani Bichuka, ameleta kilio chake kwa viongozi wa Serekali,Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Pindi Chana, na pia amemuomba Rais wetu wa awamu wa sita Mama Samia Suluh Hassan amuangalie kwa jicho la huruma, kwani anateseka sana haoni jicho moja na jicho lingine linakaribia kutoona kabisa, na hana kazi yeyote kwa sasa huku mkewe ndio ana muangalia nyumbani.

” Nateseka mno,sina uwezo tena wa kusimama jukwaani na kufanya lolote,sina daktari maalam wa kuniangalia kwani kila kitu kwa sasa ni pesa na hela hiyo kwa sasa sina kabisa” alisema Bichuka.

Leave A Reply