The House of Favourite Newspapers

Mke wa Mwandishi Azory Afunguka Mzazito Mumewe Alivyopotea, Cheki Video

Mke wa Azory.

ZIKIWA zimepita siku zaidi ya 20 tangu kupotea kwa mwandishi wa Mwananchi, Azory Gwanda, wilayani Kibiti mkoani Pwani, aliyepotea tangu Novemba 21 mwaka huu, mkewe Bi Anna Pinoni amejitokeza na kuiomba serikali imsaidie kumpata mumewe.

 

Bi Anna ameeleza kuwa mnamo Novemba 21, 2017, aliamka asubuhi na kwenda shamba, huku akimuacha binti yake nyumbani akimuandaa mtoto aende shule,  wakati anaendelea na shughuli zake shambani hapo ghafla akaona gari jeupe, alipojaribu kupepesa macho ili kuona waliomo ndani ya gari hilo alishindwa kwani gari lilikuwa na madirisha yenye kiza (TINTED).

Azory.

Watu waliokuwa wamekaa siti ya mbele walimuita, aliposogea karibu akamuona mume wake ambaye alimuuliza wapi ameweka ufunguo wa nyumba yao, na alipomjibu kuwa ufunguo anao binti yao Sabina, aliyebaki nyumbani na mtoto…………………..

 

Endelea Kufuatilia Kisa Hiki.

Application namba moja Tanzania kwa Habari, Matukio, Breaking News na Exlusie Intarviews za mastaa wote.

Install #GlobalPublishersApp sasa.
Android: ==>http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: ==>http://apple.co/2Assf4M

Comments are closed.