The House of Favourite Newspapers

MKURUGENZI MKUU MPYA NHC AWASILI OFISINI KWAKE

Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa  Felix Maagi akimpokea Mkurugenzi Mkuu mpya Dk. Maulid Banyani katika ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa asubuhi ya leo.
Mkurugenzi Mkuu  wa NHC akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Kitengo Mawasiliano na Huduma kwa Jamii (kulia)  Yahya Charahani.
Mkurugenzi Mkuu  akikaribishwa na Afisa Mawasiliano wa Shirika la Nyumba la Taifa (wa pili kulia) Bi. Domina Rwemanyila.
...Akitembezwa ofisini kwake.
Meneja Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu  Aden Kitomari (wa pili kulia akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu Dkt Maulid Banyani wakati alipoingia rasmi katika Ofisi yake mpya.
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Felix Maagi (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi mpya wa NHC Dk. Maulid Banyani.
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa  Felix  Maagi akimtambulisha Mkurugenzi Mkuu mpya Dk. Maulid Banyani kwa Menejimenti ya Shirika.
Mazugumzo yakifanyika.
Wakiwa katika picha ya pamoja.

Comments are closed.