The House of Favourite Newspapers

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh . Albert Chalamila awa Mgeni rasmi katika bonanza ya TRA na wafanyabiashara wa Kariakoo kwa lengo la kujenga mahusiano mema ns ushirikiano wa karibu

0

Viongozi na wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam na wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, leo wamejumuika katika bonanza la michezo lililoandaliwa na mamlaka hiyo kwa lengo la kujenga uhusiano mwema.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi, amewapongeza TRA kwa uamuzi huo na kuwataka mikoa mingine kuiga.

Bonanza hilo limeenda sambamba na kampeni ya kutoa elimu kwa wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiyari na kutoa risiti halali za EFD.

Leave A Reply