The House of Favourite Newspapers

Mnyika Akanusha Taarifa Zinazozusha Kifo cha Mrema

0

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje, John Mrema amefariki dunia.

 

“Sio kweli zipuuzeni hizo taarifa hazina ukweli wowote,” Mnyika.

 

Katika barua hiyo inayosambaa mitandaoni ambayo Mnyika anasema ni feki ina kichwa cha habari kinachosema utaratibu wa kuhudhuria mazishi ya Mrema na ina nembo ya chama hicho.

 

Leave A Reply