The House of Favourite Newspapers

Mo Athibitisha Rasmi Kuinunua Klabu ya Simba Miaka 5 iliyopita – Video

0
Mohamed Dewji Mo.

BILIONEA Mohamed Dewji Mo amethibitisha rasmi kuwa Klabu ya Simba aliinunua miaka 5 iliyopita na ndio kitu cha gharama kwake kukinunua

“Nadhani kitu ghali zaidi nilichowahi kununua ni klabu ya mpira inaitwa Simba inamashabiki milioni 35, niliinunua hii klabu miaka mitano iliyopita, nimepoteza takribani Dola za marekani milioni 4 (Tsh bilioni 10.2) kwa mwaka mmoja na kwa miaka yote mitano nimepoteza Dola za marekani milioni 20 (Tsh bilioni 51).

Akizungumza kwenye podcast na @1ahmad MO amesema kuwa “Nimeifanya Simba kuwa kwenye orodha ya vilabu 10 Bora Afrika inaleta furaha kwa watu na Afrika pia ni furaha kwangu,” Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji akizungumza kwenye Podcast ya Ahmed Mahmood.

Leave A Reply