The House of Favourite Newspapers

MONALISA ALIVYOAMUA KUWAINUA WANAWAKE KATIKA FILAMU

Wastara (kushoto) na Sandra wakibadilishana mawazo kabla ya mambo kuanza.

Msanii mkongwe wa filamu za Kibongo Yvone Cherry ‘Monalisa’ jana alizindua mpango wa kuwainua wasichana wwenye ndoto za uigizaji wa filamu huitwao Monalisa ACT ambapo katika mpango huo waliuchujwa wasichana 500 na kupatikana 50 ambao wataendelea katika mpango wa kuendelezwa.

Wastara (kushoto) na Sandra wakibadilishana mawazo kabla ya mambo kuanza.

Uzinduzi huo uliofanyika Makumbusho ya Taifa, Posta jijini Dar, ulihudhuri wa na Naibu wa Wizara ya Sanaa Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza aliyeambatana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa ((Basata) Geofrey Mungereza.

Msemaji wa Timu ya Simba, Haji Manara (kulia) na wadau wengine wakibadilishana mawazo kabla ya mambo kuanza.
Naibu Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza, akiongea na wanahabari baada ya kuwasili eneo la tukio, kulia ni muandaaji wa mpango huo, Monalisa.
Wasanii wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea.

 

Wageni waalikwa wakifuatilia matukio.

PICHA: RICHARD BUKOS | GPL

Comments are closed.