The House of Favourite Newspapers

MONALISA: Mimi Hua Siachi Napiga Mzigo – VIDEO

USIKU wa kuamkia leo, Aprili 1, 2019 katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa (National Museum), Tuzo za AWAFFEST kwa mara ya kwanza zimechukua nafasi mahali hapo zikihudhuriwa na watu mbalimbali maarufu huku mgeni rasmi ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamisi Kigwangalla.

 

Awaffest Tuzo ambazo zinasimamiwa na muigizaji Bora wa Filamu Bongo na Afrika, Monalisa ambaye pia ni Balozi wa African Film Festival.

Comments are closed.