Kartra

Morrison Kuvaa Jezi Yenye Jina la Mama Yake

Mchezaji wa Simba SC, Bernard Morrison amesema msimu huu 2021-22 atatumia jina la mama yake kwenye jezi. “Nimeamua kuvaa jezi yenye jina la mama yangu kwa kuwa naamini siku zote yuko nyuma yangu. Ni mwanamke muhimu katika maisha yangu,” amesma Bernard Morrison.


Toa comment