The House of Favourite Newspapers

Moto wa SuperSport Wikiendi Hii ni Tabu Tupu!

Moja kati ya mpambano mkali sana wa Golf unafanyika wiki hii, Superstar Tiger Woods atakutana uso kwa uso dhidi ya hasimu wake mkubwa na moja kati ya wachezaji wazuri wa Golf, Phil Mickelson siku ya Ijumaa, ambapo mshindi ataondoka na kitita cha pesa taslimu “doller milioni 9” ambayo ni sawa na pesa za madafu sh. bilioni ishirini milioni mia saba na mbili na laki saba.

 

Mpambano huu unaosubiriwa kwa hamu ulimwenguni kote unategemewa kufanyika siku ya Ijumaa saa 4 usiku na DStv kama ilivyo ada ya kurusha vitu vizuri, wataurusha LIVE mpambano huu kupitia Supersport 2 inayopatikana kwenye kifurushi Premium.

 

Na kwenye Premier League, tuna London Derby wikiendi ambapo Tottenham inakutana na Chelsea siku ya Jumamos, Game itachezwa saa 2 usiku na kurushwa live kupitia Supersport 3 ya kifurushi Compact kinachopatikana kwa sh.69, 000 tu kwa mwezi.

 

Na Jumapili tutakuwa na fainali za Formula One zinazojulikana kama Abu Dhabi Grand Prix na zitarushwa live kuanzia saa 9 alasiri kupitia Supersport 2 iliyopo kwenye kifurushi Premium. Lipia mapema kifurushi chako ili upate kuongezewa chaneli za ziada za supersport za kifurushi cha juu kwa siku 7 mfulululizo.

 

Jiunge na DStv sasa kwa ofa ya sikukuu Sh. 79, 000 tu, ufaidi na ofa ya mwezi mmoja bure kifurushi Bomba. Kujiunga piga namba 0659 070707! Ni Muda Mzuri wa Kukiwasha na DStv!!

Comments are closed.