The House of Favourite Newspapers

Mourinho Atangazwa Rasmi Kuwa Kocha wa Man U

0


Mourinho Man u (3) Mourinho Man u (4) Mourinho Man u (5) Mourinho Man u (6) Mourinho Man u (7) Mourinho Man u (8) Mourinho Man u (9) Mourinho Man u (10)


Mourinho Man u (2)

ALIYEKUWA Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho ametangazwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Manchester United kuanzia leo baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu klabuni hapo.

Ujio wa Mourinho kwa Man United ulikuwa ukisubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki hasa mara baada ya klabu hiyo kutangaza kumtimua kocha wake, Louis Van Gaal wiki iliyopita.

Mkataba wa Mreno huyo (Mourinho) kwa Manchester United ni wa gharama ya Euro Milioni 45 huku akiwa ametengewa paun milioni 200 kwa ajili ya usajili wa kikosi cha msimu ujao.

Leave A Reply