The House of Favourite Newspapers

MPAKA HOME: Maisha ya SISTER FEY na KIBENTEN Wake – Video

MPAKA HOME: Leo tumemtembelea mwanamuziki wa Bongo Fleva, ambaye pia ni Kungwi wa kufunda wanawake kwenye ndoa zao anayefahamika zaidi kwa jina la Sister Fey.

Sister Fey ambaye siku za hivi karibuni amekamata vichwa mbalimbali vya habari kutokana na kumuanika mpenzi wake mitandaoni ambaye ni mdogo kwake sana (Kibenten).

Kupitia kipindi hiki cha Mpaka Home utamfahamu vizuri Sister Fey, maisha yake kwa ujumla na kibenten chake pamoja na harakati zake za muziki.

 

MPAKA HOME: Maisha ya SISTER FEY na KIBENTEN Wake

Comments are closed.