The House of Favourite Newspapers

MPAKA HOME: JIONEE MZIGO WA DAWA ANAZOTUMIA WASTARA (VIDEO)

NI sehemu ya pili ya Kipindi cha Mpaka Home, nyumbani kwa Wastara ikiwa ni siku chache baada ya kurejea kutoka nchini India kwa matibabu.

Wastara ameonesha mzigo mkubwa wa madawa anayotumia lakini pia ameweka wazi jambo kubwa linalimuumiza zaidi. Je, ni jambo gani hilo? Twende moja kwa moja kwenye mahojiano haya ya Kipindi kinachoongoza kwa kupendwa nchini Tanzania, cha Mpaka Home.

Comments are closed.