The House of Favourite Newspapers

Mr Championi amwaga zawadi jijini Dar

0

 

2

Baadhi ya Wasomaji wa Gazeti la Championi wakiwa  na Mr. Championi

3

Mr Championi akiwa na msomaji wa Gazeti la Championi eneo la Toangoma, Kigamboni.

4

Championi akiwa sambamba na msomaji wa gazeti hilo.

5

Msomaji wa Gazeti la Championi akipokea zawadi ya T-shirt kutoka kwa Mr Championi eneo la Shangwe.

6

Furaha ya wakazi wa Kigamboni mara baada ya kukutwa na Mr Championi.

1

Mr Championi akiwa na msomaji wa Gazeti la Championi eneo la Toangoma, Kigamboni.

KAMA kawaida ya Mr Championi kuwajali wasomaji wake, hii leo ametembelea maeneo ya Kigamboni jijini Dar na  kugawa zawadi kwa wasomaji waliokutwa wakisoma Gazeti la Championi na kupewa zawadi mbalimbali zikiwemo fulana.

(DEOGRATIUS MONGELA/GPL)

Leave A Reply