The House of Favourite Newspapers

Mr Shinda Nyumba Aibukia Mtoni Kijichi, Dar

Wasomaji wa Magazeti ya Global Publishers wa Kijichi jijini Dar wakiwa kwenye pozi na Mr Shinda Nyumba.

SIKU chache baada ya droo ndogo ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba kufanyika Februari 8 mwaka huu katika Kiwanja chaTaifa cha Burudani cha Dar Live, kilichopo Mbagala Zakhem jijini Dar. Mr Shinda Nyumba, Julius  Charles hatimaye leo kaibuka Mtoni Kijichi na kukusanya kuponi kibao za wasomaji.

Wasomaji wa Magazeti ya Global Publishers wa Kijichi jijini Dar wakiwa kwenye pozi na Mr Shinda Nyumba.

Mr Shinda Nyumba alitembelea  maeneo mbalimbali ya Kijichi, Mbagala Kuu, Mbagala Kibonde Maji,  Chemchem na kwingineko ambapo aligawa vipeperushi vya Shinda Nyumba pamoja na kukusanya kuponi kwa wasomaji mbalimbali wa maeneo hayo.

Wasomaji wa Magazeti ya Global Publishers wa Kijichi jijini Dar wakiwa kwenye pozi na Mr Shinda Nyumba.

Baadhi ya wasomaji katika droo hiyo walishinda zawadi mbalimbali ikiwemo pikipiki, runinga flat screen, Dinner set, Smart Phones na zawadi nyingine.

Mr Shinda Nyumba akigawa vipeperushi vya Shinda Nyumba kwa wakazi wa Kijichi na Mbagala Kuu, jijini Dar.

Wakizungumza na Kamera ya GPL baadhi ya wasomaji wameshukuru kuanzishwa kwa awamu ya pili ya bahati nasibu  hiyo na kila mtu anatamani kushinda.

Mr Shinda Nyumba akigawa vipeperushi vya Shinda Nyumba kwa wakazi wa Kijichi na Mbagala Kuu, jijini Dar.

“Acha na mimi nikate kuponi za Shinda Nyumba nijaribu bahati yangu maana mwaka jana nimeona mwanamke kutoka Iringa akiwa amejishindia nyumba ya awali iliyopo Salasala, hii ya Bunju mimi naihitaji, kila siku nitanunua magazeti ya Global Publishers na kukata kuponi. Alisema mzee shabani Hamisi wa Kijichi.

Mr Shinda Nyumba akigawa vipeperushi vya Shinda Nyumba kwa wakazi wa Kijichi na Mbagala Kuu, jijini Dar.

Mr Shinda Nyumba akigawa vipeperushi vya Shinda Nyumba kwa wakazi wa Kijichi na Mbagala Kuu, jijini Dar.

Mr Shinda Nyumba akigawa vipeperushi vya Shinda Nyumba kwa wakazi wa Kijichi na Mbagala Kuu, jijini Dar.

Mr Shinda Nyumba akigawa vipeperushi vya Shinda Nyumba kwa wakazi wa Kijichi na Mbagala Kuu, jijini Dar.
Mr Shinda Nyumba akigawa vipeperushi vya Shinda Nyumba kwa wakazi wa Kijichi na Mbagala Kuu, jijini Dar.
Ofisa Masoko wa Global Publishers, Jimmy Haroub akiwaelekeza wasomaji wa Kijichi na Mbagala Kuu.
Ofisa Masoko wa Global Publishers, Jimmy Haroub akiwaelekeza wasomaji wa Kijichi na Mbagala Kuu.

Msomaji wa Kijichi, Tegemea Msigwa akisoma kipeperushi cha Shinda nyumba.
Mzee Shabani Hamisi wa Kijichi akiwa kwenye pozi baada ya kujaza kuponi.
Wakazi wa Kijichi, Careen Ng’humbi na Shamimu Hemedi wakishirikiana kujaza kuponi.
Rashidi Juma akiwa kwenye pozi na Magazeti ya Global Publishers.
Msomaji wa Kijichi, Judithi Raymond akidumbukiza kuponi yake baada ya kujaza.
Dereva bodaboda Jofrey Mtanga akiwa kwenye pozi na kipeperushi cha Shinda Nyumba.
Wajasiriamali wa Kijichi wa Mama Terry Tailoring Mart (ambao ni washonaji wa mitindo mbalimbali ya mavazi) wakiwa na magazeti ya Global.

Wasomaji wa Kijichi na Kibonde Maji Mbagala wakiwa kwenye pozi na Mr Shinda Nyumba.
Wasomaji wa Kijichi wakijaza kuponi za Shinda Nyumba.

Na Gabriel Ng’osha/GPL.

Comments are closed.