The House of Favourite Newspapers

Mr Shinda Nyumba Alivyoibuka Uwanja Wa Taifa

Mr Shinda Nyumba leo ameibuka katika maeneo mbalimbali  ya viunga vya Wilaya ya Temeke kama vile Pile, Mwembeyanga na Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Wasomaji na wadau wa magazeti ya Globala Publishers wanazidi kumpokea vizuri Mr Shinda Nyumba huku akizidi kukusanya kuponi za  Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba.

Msomaji bado una nafasi ya kushinda kwa kujaza kuponi iliyopo kwenye ukurasa wa pili wa Gazeti la Ijumaa, Risasi, Amani, Uwazi, Ijumaa Wikienda na Championi, kisha kata kuponi na leta ofisini kwetu Bamaga, Mwenge jijini Dar.

Mashabiki wa Simba na Yanga wakifuatilia Promosheni ya Shinda Nyumba iliyofanyika Ujanja wa Taifa, Temeke jijini Dar.

Ofisa Masoko wa Global Publishers, Keffa Massaga akimsaidia msomaji, Hassani Rajab kujaza kuponi yake.

Msomaji Joseph Ngassa akijaza kuponi.

Milanzi Zakaria akisoma Gazeti la Championi.

Mr shinda nyumba akiwa na wasomaji wa Mwembe Yanga na Pile na maneneo mengine ya jijini la Dar.

Na Gabriel Ng’osha/GPL

Comments are closed.