The House of Favourite Newspapers

Mr Shinda Nyumba Asepa na Kijiji Keko, Buguruni Sokota na Tabata

 

MR. Shinda Nyumba akimpa kipeperushi cha bahati nasibu hiyo mfanyabiashara wa Manzese Big Brother.
Jamaa waliokuwa wakikatiza maeneo ya Manzese Big Braza wakipewa vipeperushi.
Wakazi wa Keko Fenicha wakimshangaa MR. Shinds nyumba.
Akiwapa vipeperushi.
Wakazi wa Keko wakichangamkia kujaza kuponi.
Ustaadh Ndevu wa Buguruni Sokota akiweka kuponi kwenye ndoo baada ya kuijaza.

Promosheni ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na magazeti ya Global Publishers, Uwazi , Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Amani, Risasi na Championi inayoongozwa na Mr. Shinda leo ilitinga mitaa ya Keko, Buguruni Sokota na Tabata na viunga vyake.

Katika Promosheni hiyo Mr. Shinda Nyumba akiwa na timu ya maofisa wa Global waligawa vipeperushi na kuwauzia magazeti yenye kuponi za kushiriki bahati nasibu hiyo wasomaji waliokutana nao maeneo hayo.

Picha : Richard Bukos/ GPL

Comments are closed.