The House of Favourite Newspapers

Mr Uwazi Amwaga Zawadi Kwa Wasomaji Wake

0

1.Msomaji wa Gazeti la la Uwazi mkazi wa eneo la Buza-Bakwata akipokea zawadi yake ya Sukari kutoka kwa Mr. Uwazi,anayeshudia kulia ni Ofisa Usambazaji wa Global,Yohana Mkanda.
Msomaji wa Gazeti la  Uwazi mkazi wa eneo la Buza-Bakwata akipokea zawadi  ya sukari kutoka kwa Mr. Uwazi.  Anayeshuhudia kulia ni Ofisa Usambazaji wa Global,Yohana Mkanda.

2.Wadau wa Gazeti la Uwazi Jumane wakipozi na Mr.Uwazi huku wakifunua baadhi ya kurasa za gazeti hilo.Wadau wa gazeti la Uwazi wakipozi na Mr. Uwazi huku wakifunua baadhi ya kurasa za gazeti hilo.

3.Mr.Uwazi akiwa katika picha ya pamoja na wasomaji wa Gazeti la Uwazi eneo la Buza, baadhi yao wakionesha habari iliyoko kwenye ukurasa wa mbele.Mr. Uwazi akiwa na wasomaji wa gazeti la Uwazi eneo la Buza ambapo baadhi yao wakionesha habari iliyoko kwenye ukurasa wa mbele.

4.Msomaji wa Gazeti la Uwazi eneo la Mwembe Yanga-Temeke akipokea zawadi yake mara baada ya kukutwa na gazeti hilo.Msomaji wa Uwazi eneo la Mwembe Yanga-Temeke akipokea zawadi baada ya kukutwa na gazeti hilo.

5.Msomaji wa Gazeti la Uwazi akipozi na Mr.Uwazi kabla ya kupokea zawadi yake.Msomaji wa  Uwazi akipozi na Mr. Uwazi kabla ya kupokea zawadi.

6.Wasomaji wa Gazeti la Uwazi eneo la kituo cha daladala cha Temeke wakifurahia na Mr.Uwazi walipokutwa na gazeti hilo.Wasomaji wa Uwazi eneo la kituo cha daladala cha Temeke wakifurahia na Mr. Uwazi walipokutwa na gazeti hilo.

7.Msomaji wa Gazeti la Uwazi akipokea zawadi ya Sukari kutoka kwa Mr.Uwazi mara baada ya kukutwa akisoma gazeti hilo.Msomaji wa  Uwazi akipokea zawadi ya sukari kutoka kwa Mr. Uwazi mara baada ya kukutwa akisoma gazeti hilo.

KATIKA  kukelekea kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Mr Uwazi leo  alitembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na kugawa zawadi kwa wasomaji wa Gazeti la Uwazi.

Baadhi ya maeneo aliyotembelea ni pamoja na Buza Kwalimboa, Mwembe Yanga, Tandika, Temeke-Sudani na Chang’ombe ambapo aligawa zawadi mbalimbali ikiwemo sukari na kuwarudishia pesa yao waliyonunulia gazeti hilo la Uwazi.

Mr. Uwazi wakati wa utoaji wa zawadi hizo aliambatana na ofisa usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda, ambaye wakati Mr Uwazi akigawa zawadi naye alikuwa akipokea maoni mbalimbali yanayohusu gazeti hilo.

Aidha afisa huyo aliwaahidi wasomaji wa gazeti hilo kufanyia kazi maoni yao na kuwaasa kuendelea kulisoma kwani kila Mr Uwazi atakapopita siku za Jumanne akakuta mtu akisoma gazeti hilo, atakuwa akijipatia zawadi.

“Kazi kubwa ya Mr. Uwazi ni kuhakikisha anatoa zawadi kwa wasomaji wa Gazeti la Uwazi mahali popote, hivyo atakapokutwa mpenzi wa gazeti hilo akilisoma atajipatia zawadi papo hapo,” alisema Mkanda.

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply