The House of Favourite Newspapers

Msanii Chino Akiwa na Madansa Wake Wapata Ajali Kabuku, Tanga – Video

0

 

View this post on Instagram

 

A post shared by globalpublishers (@globaltvonline)

Msanii na dancer maarufu Bongo, Chino.

Msanii na dancer maarufu Bongo, Chino akiwa na madansa wake, amepata ajali mbaya katika eneo la Kabuku mkoani Tanga, baada ya gari walilokuwa wakisafiria, Alphad kugongana na lori la mafuta wakiwa safarini kuelekea jijini Tanga kwenye shoo.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa Chino na wenzake wamepata majeraha na kukimbizwa hospitali ya Rufaa Tanga kwa matibabu.

Meneja wa msanii huyo, Sweder amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa walikuwa wakielekea kwenye shoo Tanga.Muigizaji kutoka Nchini Nigeria ambaye awahi kushiriki mara mbili #BigBrotherNaija na kufika fainali mara mbili @pereegbiofficial amfika Nchini Tanzania kwa ajili ya Tuzo za @ccawadsafrica ambazo zitafanyika usiku wa leo katika wa #TheSuperDome Masaki Dar es salaam.

Amefungua mengi kuhusu Tanzania pia amemsifia Rais Samia kwa kazi kubwa anayoifanya.

Leave A Reply