The House of Favourite Newspapers

MSANII STAMINA AFUNGA NDOA MOROGORO LEO (Video)

Msanii wa hip-hop, Stamina, akiwa na mpenzi wake, Veronica Peter, Kanisa Katoliki, Morogoro, kabla hawajafunga ndoa leo. Kwa nyuma anaonekana msanii Roma na mkewe ambao walisimamia ndoa hiyo.
Mkewe Stamina akiwa na msimamizi wake baada ya kufunga ndoa.
Maharusi na wasimamizi wao wakijiandaa kuingia kanisani.
Maharusi wakiingia kanisani.
Stamina akiongea na kiongozi wa dini kabla ya kufunga ndoa.

MSANII wa Hip-Hop, Stamina, leo amefunga ndoa na mpenzi wake, Veronica Peter, katika Kanisa Katoliki, Morogoro mjini ambapo ndoa yake ilisimamiwa na msanii Roma na mkewe.  Harusi hiyo imehudhuriwa na mastaa mbalimbali katika fani mbalimbali ambao walitegemewa baadaye kufanya sherehe mjini humo.

PICHA NA SHEKIDELE/MOROGORO

Comments are closed.