The House of Favourite Newspapers

MAGUFULI: Huyu Ndiye Anayejenga Madaraja Tanzania (Video)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, amemsifia na kumpongeza, Mkurugenzi Mtendaji wa (Tanroad), Patric Mfugale, kwa juhudi zake za kusimamia shughuli zote za ujenzi hapa nchini.

 

Kutokana na juhudi zake hizo, Rais Magufuli amesema ujenzi wa barabara za juu (Flyover) utakapokamilika, barabara moja kati ya hizo iitwe jina la Mfugale Flyover.

 

Rais Magufuli ameyasema hayo wakati wa hafla ya uzinduzi wa daraja la Magufuli lililopo Kilombero mkoani Morogoro.

Comments are closed.