The House of Favourite Newspapers

Mshambuliaji Rasmus Højlund Kutua Manchester United Akitokea Atalanta

0

Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na klabu ya Atalanta juu ya uhamisho wa mshambuliaji Rasmus Winther Højlund kwa ada ya uhamisho ya jumla ya euro milioni 70.

Hojlund (20) raia wa Denmark atasaini mkataba wa miaka mitano wa kuwatumikia Mashetani hao Wekundu mpaka Juni 2028 na chaguo la kuongezeka mpaka 2029.

Klabu ya PSG ilikuwa katika kinyang’anyiro cha saini ya mshambuliaji huyo lakini chaguo lake namba moja lilikuwa Manchester United.

TWAHA KIDUKU ACHEZEA KICHAPO KUTOKA kwa MSOUTH WELLEM-MWENYEWE AKIRI “SIJATAMBA AMENIZIDI, I M SORRY”

CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰 ============================================================

Leave A Reply