Msolla, Mangungu Wajitosa Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu

Mwenyekiti wa Yanga Dkt. Mshindo Msolla na Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu ni miongoni mwa majina yaliyopita katika mchujo wa awali kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu.

Jina lingine lililopenya katika mchujo huo ni Steven Mnguto ambaye anatetea nafasi hiyo kutoka Coastal Union ya Tanga.2178
SWALI LA LEO

Kupanda Kwa Bei ya Mafuta Nchini, Nini Kifanyike Kupunguza Bei?
Toa comment