The House of Favourite Newspapers

ads

Mtandao Wa Kijamii Wa Kitanzania Waanza Kufanya Kazi

0

Mtandao wa kijamii wa Kitanzania waanza kufanya kazi. Mtandao huo umelenga kuwakutanisha vijana wa lika zote kote duniani.

 

Mkurugenzi wa mtandao huo wa kijamii wamesema kuwa mtandao huo umebuniwa kwa kuangalia changamoto zilizopo kwenye jamii, ameendelea kwa kueleza kuwa, mtandao huo una sifa za kitofauti na mutandao mengine ya kijami.

 

Ameongeza kwa kusema kiwa wafanyabiashara wa restaurant, migahawa, saluni na masaji wachangamkie nafasi hii. Halikadhalika, mtandao huu umedhamiria kuinua tasnia ya urembo nchini kwa kiendesha mashindano mbalimbali ya urembo kipitia njia ya mtandao.

 

Watanzania wote wanahamasishwa kupenda vya nyumbani kwa kutumia mtandao huu. Kwa sasa hivi unatumika kwa simi za android pekee na unapatikana kwenye google store kwa jina la poa-tz.

 

Kwa habari zaidi unaweza kuwatembelea kwenye page yao ya instagram yenye jina la poa_tz.

Leave A Reply