The House of Favourite Newspapers

GLOBAL TV ONLIE -LIVE: Kamanda Mpinga Kuzungumza Saa 5:00 Leo Jumatatu

MTAZAME LIVE Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Naibu Kamishna Mohamed Mpinga, kupitia #YouTube Channel uipendayo ya Global TV Online,  leo Jumatatu, Februari 20, 2017 saa 5:00 asubuhi, akizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu usalama barabarani na namna ya kuepuka ajali.

Pia mahojiano unaweza kuyatazama #Mubashara kupitia TOVUTI yako namba moja ya===> www.globalpublishers.co.tz 

Comments are closed.