The House of Favourite Newspapers

VIDEO: MC Pilipili ‘Awavunja Mbavu’ Kwenye Usiku wa Love, Melodies & Lights – Leaders Club

MCHEKESHAJI anayekimbiza sasa hivi hapa Bongo, MC Pilipili usiku wa kuamkia jana Februari 19, 2017 ‘aliwavunja mbavu’ wageni na mashabiki waliohudhuria kwenye shoo ya Usiku wa #LoveMelodiesAndLights iliyofanyika Leaders Club.

Kama kawaida yake, Mc Pilipili amekuwa ni mbunifu kwenye tasnia ya Komedi hapa nchini, alitoa vionjo mbalimbali vilivyowafanya watu wacheke ukumbini hapo bila kupumzika…

TAZAMA VIDEO YA MC PILIPILI ALIVYOVWAVUNJA MBAVU WATU

Comments are closed.