The House of Favourite Newspapers

Mtoto Aliyesaidiwa Na Rais Aongea Kwa Uchungu…”Kama Siyo Rais Samia Kuniona Ningekuwa Nimekufa”-Video

0


Mara kwa mara Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan anapokuwa ziarani sehemu mbalimbali hapa nchini Tanzania hukutana na watu wakamwelezea shida zao binafsi na akazipatia ufumbuzi. Lakini tukio moja la Oktoba 2022 lilikuwa la aina yake na limebadili kabisa maisha ya mtoto mmoja. Katika msafara wake akiwa ziarani mkoani Kagera, Rais Dk Samia alimuona mtoto wa kiume aitwaye Aminu Baranyikwa mwenye umri wa miaka 15, akiwa amekaa pembezoni mwa barabara akiwa na huzuni mno… ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply