The House of Favourite Newspapers

Mtoto wa Mzee Majuto Ateuliwa Kuwa Katibu Tawala

MTOTO wa Muigizaji nguli wa vichekesho nchini, Amri Atumani ‘Mzee Majuto’, Hamza Amri Athumani ameteuliwa na Serikali ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Katibu Tawala wa wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani.

Uteuzi huo umekuja ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya uongozi yaliyofanywa na Wizara ya Utumishi pamoja na kujaza nafasi makatibu tawala zilizokuwa zimeachwa wazi.

Comments are closed.