The House of Favourite Newspapers

Mtwara: Waandishi wa Habari Wapata Ajali

0

Waandishi wa habari ambao idadi yao haijawezafahamika wamepata ajali mbaya wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig. Jen. Marco Gaguti aliyekuwa akikagua utekelezaji wa miradi ya UVIKO-19 wilayani Newala.

Taarifa za awali zinasema gari la waandishi liligonganga uso kwa uso na basi. Mwandishi wa Habari wa Magazeti ya Serikali mkoani Mtwara Anne Robi alikuwa katika ziara hiyo.

Tunaendelea kuwasiliana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Mark Njera aliyekuwa akiongoza msafara wa Mkuu wa Mkoa kwa taarifa zaidi.

Leave A Reply