The House of Favourite Newspapers

Mufti Mkuu wa Tanzania Atangaza Kutokuwa na Ibada ya Hijja – Video

0
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Bin Zuberi leo Juni 16, 2021 ametangaza kuwa hakutakuwa na ibada ya Hijja kutokana na changamoto za ugonjwa wa Corona, Saudi Arabia imesitisha kupokea wageni mpaka pale hali itapokaa sawa.
#globalpublishers.co.tz
 
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply