The House of Favourite Newspapers

Mume Amuua Kikatili ‘Mchepuko’ Wa Mkewe-Video

0

Mkazi wa Kijiji cha Kibaoni Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa kwa kile kinachodaiwa kuwa alifumaniwa na mke wa mtu.

 

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo usiku wa kuamkia Desemba 4, mwaka huu na kueleza kuwa baada ya mwanaume huyo kufanya mauaji alijisalimisha mwenyewe polisi.

Leave A Reply