The House of Favourite Newspapers

MUNA: Peter Muongo, Nyumba ni Yangu, Hajaninunulia Gari – Video

MUIGIZAJI kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, rose Alphonce ‘Muna Love’ katika mkutano aliofanya leo na waandishi wa habari ameweka wazi kuwa yeye ndiye mmiliki halali wa nyumba anayoishi mumewe, Peter Zacharia Komu, Mwananyamala jijini Dar es Salaam na kuongeza kuwa, hajawahi kumnunulia gari kama tarifa zilivyokuwa zikisambaa mitandaoni.

VIDEO: MSIKIE MUNA AKIFUNGUKA HAPA

Comments are closed.