The House of Favourite Newspapers

MUSUKUMA Amvaa Tena LISSU “Anacheza Sinema Tu” -VIDEO

MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’ ameipongeza serikali kwa kuzindua Mahakama inayotembea ambayo imezinduliwa na Rais Magufuli siku chache zilizopita.

Mbunge Msukuma amesema Mahakama hiyo itawasaidia sana wananchi kwani kuna baadhi ya maeneo ambayo hayana majengo ya Mahakama.

Comments are closed.