MUUNGANIKO WA TECNO NA MAN CITY WATOA BIIDHAA BORA

IT IS REAL-TECNO CX Limited edition inskyblue with Manchester City Football Club crest
While it isn’t news anymore that TECNO Mobile is a partner of Manchester City Football Club, what will soon be news (and an interesting one for that matter) is a rumored launch of a limited edition TECNO Camon CX to celebrate the partnership with Manchester City.

 

Going by the rumors, the launch could be in early July!Tecno Mobile ni mbia na timu ya mpira ya Manchester City Footbal Club kutokea nchini Uingereza,Tecno na Manchester City inasemekana wameamua katika kukuza uhusiano wao watoe simu maalumu inayooonesha lebo za simu hizi mbili.

Ilitegemewa Tecno Kutumia uhusiano huu na klabu hii maarufu katika biashara kwa kuleta bidhaa sokoni zilizo na uhusiano wa moja kwa moja na klabu hii ya mpira wa miguu kutokea nchini Uingereza ili kukuz soko lake, ndivyo ilivyotokea kwani Tecno wameingia kazini na picha zinaaanza kujieleza.

We had hoped, more or less expected in a long time that TECNO will leverage itspartnership with Manchester City Football Clubto execute some product marketing for its growing global consumer base and apparently,we weren’t alone in our line of thought. TECNO Mobile has been busy in the works and the pictures speak volume…
The product selection for the Limited Edition is just perfect.In case you don’t know, the TECNO Camon CX is the third generation CAMON series-the brand’s best seller camera phone lineknown for its premium camera upgrades and pocket friendly price tag since its first unveiling in 2015.

Uchaguzi wa simu itakayotumika kwaajili ya ushirikiano huu ni sahihi, kama ulikua haujui Tecno Camon CX, ni mfululizo wa matoleo ya camon yanakuja na kamera kali Zaidi ikiwa ni ya tatu katika matoleo yake.

Fantastic dual cameras- You’re looking at 16MP front and backlow-light cameras with dual LED flash that allows a user to take those quality selfies.

 

KAMERA KALI : – Ina kamera yenye 16mp mbele , ikiwa na uwezo wa kupiga picha katika mwanga mdogo lakin pia flashi mbili mbele zinazosaidia kupiga picha za mbele nnzur maarufu kama selfie.

Rkamera ya nyuma inapiga Picha kwa haraka Zaidi.ear Fingerprint with quick snap
Files and documents stay safe thanks to the fingerprint feature but there’s more, fingerprint on the Camon CX Limited edition comes with Quick snap feature which allows the usercapture fleeting moments in just 0.1sec shutter time.

Lakini pia mafaili yatakua salama kwasababu simu hii imewekewa usalama wa alama za vidole, lakini hii ya usalama wa vidole haiji kwaajili ya kazi moja tu ila pia itatumia kupigia picha kwa haraka Zaidikwa spidi ya 0.1 sec.
Muonekano wa kibabeSingle premium design-if nothing else about this phone gets your attention, its hardware will. The TECNO Camon CX Limited edition is a smartphone fit for the top flight and a worthy bearer of “The Citizens” crest.
Kama hakuna kilichokushtu kuhusu simu hii basi muonekano wake utakubeba moja kwa moja. Tecno Camon CX tolea maalumu la klabu ya Manchester city ni simu ya kijanja inayokupa nafasi ya kua daraja la juu.

The bevel finishing on sky blue is particularly appealing and this smartphone matches good looks with sublime performance; hosting 64G ROM +4GB RAM fired up by the latest android 7.0 operating system.Muonekano wa mwisho wa simu hii unaonesha ni kwa jinsi gani simu janja hii inakuja n amuonekano wa kibabe lakini ukiwa umebeba 64GB za kuhifadhi vitu ndani ya simu bila kutumia memori kadi ya nje huku ikipewa RAM ya 4GB inayotoa nafasi y akutumia Zaidi ya aplikesheni 50 kwa wakati mmoja.
TECNO Mobile has got eyes on Europe if you ask me-Huawei, OPPO and VIVO beware.

Toa comment