The House of Favourite Newspapers

Muvi Mpya! Jackie Chan Kuibuka na James Bond

0

WEWE ni mpenzi wa muvi kali na za kijanja? Unajua kama Jackie Chan anaibuka na muvi mpya aliyoigiza na Pierce Brosnan ambaye ameigiza kama James Bond kwenye Die Another Day, The World Is Not Enough na nyinginezo? Sasa wawili hao wanakuletea muvi mpya iitwayo The Foreigner!

Kama wewe ni mfuatiliaji wa muvi kali za za kijanja, usikose kuicheki hii ambayo itazinduliwa rasmi tarehe 30 mwezi wa 09. KAA MKAO WA KULA!!!

Na: Nyemo Chilongani

Leave A Reply