The House of Favourite Newspapers

MWACHUO MUHIMBILI ALIYEKUFA AKIWA USINGIZINI AAGWA – VIDEO

NI simanzi, vilio na huzuni vilitawala jana kwa mamia ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya ya Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), wakati wa kutoa heshima zao za mwisho kwa mwanafunzi mwenzao, Marcus Kahitwa aliyekutwa amefariki dunia chumbani kwake, Mei 19 mwaka huu.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, marehemu huyo amefariki dunia baada ya kupaliwa na chakula akiwa usingizini, jambo lililosababisha kifo chake.

SHUHUDIA TUKIO HILO

Comments are closed.