The House of Favourite Newspapers

Mwana FA Aachia Dude Jipya na Maua Sama – Hata Sielewi

IKIWA ni wiki chache baada ya kufanya vizuri na ngoma mpya ya Upo Hapo ambayo amegonga na ma-rapaz wenzake ambao ni A.Y na Fid Q, Hamisi Mwinjuma “Mwana FA” au Binamu ameachia video yake mpya ambapo katika wimbo huo amemshirikisha mwanadada, Maua Sama.
Video hiyo mpya imetengenezwa na prodyuza Hermy B (B Hitz)
Video: Studio Space Pictures (South Africa).
Tazama video ya wimbo huo hapa chini

Comments are closed.