The House of Favourite Newspapers

Mwana FA Ateuliwa Kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo

0
Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Mwana FA

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma maarufu Mwana FA kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo akichukua nafasi ya Pauline Philipo Gekul ambaye amehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria.

Leave A Reply