The House of Favourite Newspapers

Mwanafunzi Aliyeongoza Tanzania Aliomba Kuonana Na Hayati Magufuli-Video

0

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumamosi Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba mwaka 2021 ambapo mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule limemtangaza ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021.

Leave A Reply