The House of Favourite Newspapers

Mwanafunzi Anusurika Kupofuka Baada ya Kuvamiwa na Kupigwa na Kibaka

0

Zena Hamis Mabwada ambaye ni mwanafunzi wa sekondari, mkazi wa Vingunguti Kombo jijini Dar es Salaam amenusurika kupofuka baada ya kuvamiwa na kupigwa vibaya na kibaka nyumbani kwao.

Wakazi wa Vingunguti wameiomba serikali kumkamata kijana anayetuhumiwa kutenda tukio hilo ajulikanaye kwa jina la Baraka, anayetajwa kuhusika na matukio ya uhalifu, wananchi wakihofia usalama wa watoto wao.

Leave A Reply