The House of Favourite Newspapers

Mwanamuziki Kassim Mapili azikwa Kisutu

0

Mapili (1)

Mwili wa marehemu  Mzee Kassim Mapili ukiwa umebebwa kuelekea makaburi ya Kisutu, Dar.

Mapili (2)

Safari ya kuelekea makaburi ya Kisutu ikianza.Mapili (3)

Mtoto wa marehemu Hasani Kassim Mapili (katikati) akilia kwa uchungu wakati wa maziko ya baba yake.

Mapili (4) Mapili (5) Mapili (6) Mapili (7)

Mazishi yakiendelea.

Mapili (8)

Mapili (10)

Msanii wa muziki, Mrisho Mpoto, akishiriki mazishi hayo.

Mapili (11)

Baada ya mazishi washiriki wakimuombea dua marehemu.

Mapili (12)

Mrisho Mpoto akiongea jambo kwa niaba ya wasanii.Mapili (13)

Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni, Nape Nauye, akiongea na wanahabari baada ya mazishi.

(PICHA NA RICHARD BUKOS/GPL)

Leave A Reply