The House of Favourite Newspapers

Patrick Kanumba Afungukia Penzi na Gigy Money -Video

0

PATRICK KANUMBA, msanii wa Bongo Movie ambaye aliibuliwa na marehemu Steven Kanumba,  akipiga story ndani ya kipindi cha Kata Mbuga jana kinachosikika kupitia Global Radio siku ya Jumatatu hadi Ijumaa,  kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 6, jana amekanusha kutoka kimapenzi na Gigy Money.

Ili kusikiliza matangazo ya +255 Global Radio popote ulipo, pakua App ya Gobal Radio katika Android au iOS au ingia www.globalradio.co.tz

Leave A Reply