The House of Favourite Newspapers

Mwili wa Majuto Watolewa Mochwari Muhimbili – Video

MWILI wa marehemu Amri Athumani Majuto umetolewa katika Hospitali ya Muhimbili na kupelekwa katika msikiti wa Masjid Maamur, Upanga,  jijini Dar es Salaam kuoshwa na kuswaliwa kabla ya kupelekwa viwanja vya  Karimjee kuagwa kisha kusafirishwa kwenda kwa maziko Tanga.

Mwili wa Majuto ukitolewa Hospitali ya Muhimbili na kupelekwa katika msikiti wa Masjid Maamur Upanga.
Wasanii na watu wa karibu wakiwa wamebena mwili wa marehemu.
Safari ya kuelekea katika msikitini.
Mchekeshaji mahiri Bongo Lucas Mhuvile ‘Joti’ (katikati) akiwa nje ya Hospitali ya Muhimbili.
Ndugu wa marehemu wakilia.

(PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL)

Comments are closed.