The House of Favourite Newspapers

Mwili wa Mwanamtandao William Malecela Maarufu kama ‘LeMutuz’ Waagwa Dar – Video

0

MWILI wa Mwanamtandao maarufu Nchini Tanzania William Malecela maarufu kama ‘LeMutuz’ ambaye pia ni Mmiliki wa Online TV ya LeMutuz aliyefariki dunia jana Jijini Dar es salaam, umeagwa leo Mei 15, 2023 Karimjee kabla ya kusafirishwa hadi Dodoma atakapopumzishwa kwenye makazi yake ya milele.

Wasaniii, Wadau na Waombolezaji mbalimbali wakiongozwa na Baba wa Lemutuz, Mzee Malecela wamejitokeza kumuaga Lemutuz akiwemo aliyekuwa RC wa DSM, Paul Makonda, Mwigizaji Batuli, Mbunge Babu Tale, Mbunge Zungu, Doris Mollel, Kalito, Jembe ni Jembe na wengine.

Leave A Reply