The House of Favourite Newspapers

MWILI WA RUGE WAFIKISHWA GYMKHANA KUAGWA- PICHAZ

Sheba Kussaga Mkurugenzi wa Biashara na uwekezaji Clouds Media akifuta msalaba wa Rafiki na Mkurugenzi mwenza wa Vipindi na Uzalishaji Ruge Mutahaba.

MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba tayari umefika katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba kwa ajili ya sala, salamu za mwisho na kuagwa kabla ya kuzikwa kijijini kwao.

Comments are closed.